RAIS WA RED CROSS TANZANIA NDG.DAVID M KIHENZILE AONGOZA MAADHIMISHO YA RED CROSS DUNIANI MKOANI DODOMA

Rais wa Red Cross Tanzania Ndg. David Kihenzile aongoza maadhimisho ya siku ya Red Cross duniani mkoani Dodoma tarehe 8 Mei. Mh. David M Kihenzile akiongozana na makamu wa rais wa TRCS Bi. Lucia Pande, Katibu Mkuu wa TRCS Ndg. Felician Mtahengerwa,Naibu Katibu Mkuu TRCS, Mhazini Mkuu TRCS Ndg.Japhet Shirima sambamba na Mh.Ester Maleko M/kiti RMC Mkoa Kilimanjaro(MNEC), M/kiti wa Mipango na Maendeleo TRCS Ndg. Herman Kashililia (MNEC)Katika kuadhimisha sherehe hizo uongozi huo ukiongozwa na mwenyeji wao M/kiti wa RMC Dodoma Ndg. Tryphone Mkolokoti wametembelea kituo cha watoto yatima kijiji cha Matumaini nakutoa misaada mbalimbali ambayo ni mahitaji muhimu kwa watoto hao.