TURKISH RED CRESCENT YAKUTANA NA KATIBU MKUU WA TRCS MAKAO MAKUU YA TANZANIA RED CROSS SOCIETY LEO TAREHE 12.07.2021

Katibu mkuu wa Tanzania Red Cross Society Ndg.Felician Mtahengerwa akutana na wawakilishi wa Turkish Red Crescent kujadiliana mambo mbalimbali ya kuboresha ushirikiano wa kusaidia katika shughuli mbalimbali za kusaidia maafa.