TRCS - LINDI : MAADHIMISHO YA RED CROSS DUNIANI TAREHE 8 MEI

TRCS-Lindi yaadhimisha siku ya Red Cross Duniani kwa kutembelea wazee wasiojiweza na kuwapa mahitaji pia kuwafanyia usafi katika makazi yao.