TRCS- Njombe : Siku ya Red Cross Duniani 8 Mei

TRCS- Njombe yaadhimisha siku ya Red Cross Duniani kwa Kutembelea na kutoa Mahitaji kwa Wagonjwa hospitali Ya Mji wa Makambako wakati huo huo Wametembelea Shule Ya watoto wenye mahitaji maalum wilayani Ludewa.